SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2 Times Ebuka Wore Front Slit Trousers
Mitindo

2 Times Ebuka Wore Front Slit Trousers 

Slayer mwanaume kutoka Nigeria Ebuka ameonekana ku-set new bars kwa wanaume kwa kuvaa hizi suruali zenye mpasuo mbele. Design hii ya suruali tumeziona sana kwa fashionista’s wengi wa kike lakini kwa mara ya kwanza tumeona kwake akiwa amevalia kama mwanaume.

Mara ya kwanza alivalia na two set outfit ya njano wakati mara ya pili akiwa amevalia na two pieces print’s outfit

Well #afromates Je a chop or drop?

Related posts

1 Comment

  1. learn the facts here now

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-ebuka-wore-front-slit-trousers/ […]

Comments are closed.