Kwanza kabisa tuseme kama kuna msanii anaejaribu katika muonekano wake basi ni Nandy, she is pushing real hard, Tunapenda kwamba japo a personal stylist wake Nandy bado ana tafuta stylist wengine kumvalisha. Baada ya kumalizana na Nandy allow us to introduce to you new stylist in town, mwanadada Pv Cambo , Tunadhani Nandy ndio msanii wa kwanza Pv kum-style and we already like her & her work.
We see Pv is taking notes na kujaribu kumpa Nandy muonekano tofauti na ule tuliomzoea, Pv style is more of Chic Boyish, trend & Colorful.
Hapa akiwa amemvalisha Nandy all black outfit, ambapo alivaa a graphic t-shirt wakaifunga kwa mbele kidogo kuonyesha kiuno (take notes, take notes), blck skin -tight huku akiwa amemaliza muoenakano wake na beret hat, Matrix Sunglasses na colorful bangles bila kusahau amemvalisha burgundy boots ambazo zimeleta rangi kwenye outfit hii ( tunaita kupopisha)
Mara ya pili tuliyo ipenda ni hii ambapo alimvalisha hii two color dress ( green & gold), amemalizia muonekano wake na red heels na red belt huku kichwani akiwa na beret hat. How colorful is this outfit yet so stylish?
Tuambie wewe maoni yako je umempenda huyu stylist mpya au akae pembeni?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 91944 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-nandy-was-styled-by-pv-cambo-and-we-liked-it/ […]