SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2 Times Vanessa And Lavidoz Styled The Sean Wotherspoon’s Nike Air Max 1/97
Mitindo

2 Times Vanessa And Lavidoz Styled The Sean Wotherspoon’s Nike Air Max 1/97 

The Sean Wotherspoon’s Nike Air Max 1/97 kicks bado zina trend Duniani watu maarufu mbalimbali wanaonekana kuzivaa, tuliziandikia zinauzwa $160 sawa na Tzs 365,584,

List ya watu maarufu waliovaa viatu hivi imeongezeka ambapo fashionista Lavidoz nae ameingia katika list hii, tumemuona Lavidoz akiwa ame-style viatu hivi mara mbili ambapo mara ya kwanza alivaa hivi viatu na well fitted jeans na graphic white tee amemalizia muonekano wake na sun glasses na brown small handbag.

Mara ya pili Lavidoz was in beach vibes, amevaa viatu hivi na high waist pants, white vest na kimono cha kijani, amemaliza muonekano wake na kikapu bag, big hoop earrings na miwani ( she is a beach vibes goal)

Lakini pia tulim-spot mwanamuziki Vanessa Mdee akiwa amevaa viatu hivi wakati yupo London akiwa katika One Africa Music Fest ambapo alivaa viatu hivi na raw hem denim trouser, black top yenye denim kidogo na trending small sunglasses ( she looked stylish)

Mara ya pili alivaa na all black outfit hapa alikuwa China.

tuambie nani amekuvutia na style zake kati ya Vanessa Na Lavidoz?

Related posts

1 Comment

  1. 다시보기 사이트

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2-times-vanessa-and-lavidoz-styled-the-sean-wotherspoons-nike-air-max-1-97/ […]

Comments are closed.