Tukiongelea The Kardashian hakuna asie wajua kama humjui Kim basi utamjua Khloe au Kylie au yoyote ambae jina lake mwisho lina ishia na Kardashian au Jenner.
Ikiwa ni Famillia ambayo ina angaliwa na wengi katika mitindo, Familia hii ime prove kwamba mwaka huu kwao wana vaa tu boots na clear shoes. Imekua kawaida kuwaona wanawake hawa wakiwa katika viatu vya design hii na mara chache sana kuvaa viatu aina nyingine.
Endapo wawili wata vaa viatu design nyingine walio salia lazima mmoja au wawili watavaa boots au clear sandals. Na hii ime sababisha viatu hivi ku trend sana na wengine kuvutiwa na design hii kutoka kwa The Kardashian
Kris Jenner ana tuonyesha jinsi ya kuvaa Flat Boots na Bandage Dress, tume penda muonekano huu kutoka kwake Khloe ana tuonyesha jinsi ya kuvaa boots ndefu casual and we like it
Kendall Is looking Sexy on her All Nude outfit
Kim katika Clear Sandals, For as much as we like this trend lakini si ina bidi ivaliwe usiku au siku ambavyo hamna jua maana plastic io inaunguza juani
Kourtey katika clear sandals
Kylie katika Clear Boots.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2016-ni-mwaka-wa-boots-na-clear-shoes-kwa-the-kardashian/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2016-ni-mwaka-wa-boots-na-clear-shoes-kwa-the-kardashian/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2016-ni-mwaka-wa-boots-na-clear-shoes-kwa-the-kardashian/ […]