SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2016 ROUND UP – HAIR STYLE MBAYA ZILIZO TOKEA MWAKA HUU
Hair

2016 ROUND UP – HAIR STYLE MBAYA ZILIZO TOKEA MWAKA HUU 

Mwaka una isha, so tumeona tuwaletee baadhi ya vitu vizuri ama vibaya ambavyo vime tokea mwaka huu kabla ya mwaka kuisha. Leo tuna round up na hair style mbaya ambazo baadhi ya watu maarufu wali debut mwaka huu, haziko kimpangilio una weza kuchagua yako ipi ndio ya kwanza kwa kuwa hair style mbaya zaidi

Nisha na hii wig ya rasta ambayo alikuwa ana tangaza biashara kwamba atakuwa ana ziuza, ni nani atanunua the wig kwa kutangazwa hivi? hata haija valiwa vizuri na kuficha kwamba ni wig?14474502_1658330101164249_2412953085484728320_n

 

Gigy money na hii wig, hatujui kama alie mvalisha hii kofia alikuwa mwana funzi au vipi sababu make up yake ipo on point lakini wig haija valiwa vizuri pia una weza kuona masikioni vya ndani vinaonekana na hizo mbele ni baby hair?14482854_1827494120824313_1121381695736512512_n

Petit Man wa kuache a.k.a toto ya madame Wema Sepetu hakutaka kupitwa na bantu knots style akaamua kuweka rasta zake ziwe kama bantu knots, tuna penda the idea ya kuwa tofauti ila hapa haikufanya kazi NO14591142_2214184088807123_6427705762927083520_n

Jacqueline Wolper na hio blonde wig yake ili leta balaa mpaka mwenyewe akaamua kujibishana na mashabiki wake, kwetu mpaka mashabiki wakisema jua wanajua you can do better kwaio to us pia hii hair style haikua sawa kwa Jacqueline labda alivaa vibaya wig au alie mtengeneza alikuwa na haraka14597464_1099298453450851_2489963910686310400_n

Banana Zorro ali debut hii hair style ni wapi aliitoa hatujui ila ame thibitisha kwamba go rasta au go bald you cant do both

14709516_1049245308525600_3067089442322776064_n

Jike Shupa ana hitaji hair stylist

13724643_226366237759810_3347139_n 14369033_1702626036729644_5123784400877649920_n

Related posts