SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2016 roundup – THE FAUX LOCKS HAIR TREND
Hair

2016 roundup – THE FAUX LOCKS HAIR TREND 

2016 ime tupa trends mbali mbali ila kuna zile ambazo zili wabamba wengi, kama hii ya faux locks braids ambazo watu wengi walionekana kuvutiwa nazo na kusuka. We have to say linapo kuja swala la hair styles na ikiwa ni rasta basi we have to expect anything ina weza kuvuta 2017 au ikabaki 2016 ina tegemea na mapenzi ya watu japo si mbaya ikavuka, Faux locks una weza kufanya style yoyote na wala hazichoshi lakini pia jinsi zinavyo endelea kukaa kichwani ndivyo zinavyo zini kupendeza na kutoa ile natural look kama ni rasta zako kabisa. Tuone walio rock hii trend mwaka huu

Tanzania walikuwepo wengi mno lakini hawa ni wachache tulio wachagua

Jokate Mwegelo, model, mjasiriamali na muimbaji muziki ali rock faux locks lakini za kwake aliweka mawimbi (curly s)

e

Aliye kuwa miss Tanzania 2006, Mjasiriamali na Muigizaji Wema Sepetu

e10

Rihanna, mwanamuziki na muigizaji nae ali debut hii hairstyle zake zilikuwa ndefu sana na kuna movie ataonekana akiwa na hii hair style inaitwa ocean 85c98cae99d997172ad6613268d7b5946

jhene- aiko  mwanamuziki nae hakupitwa yeye alisukia blonde faux braidslocs_2

Ciara nae hakuwa nyuma alikuwa more creative kwa kuchanganya rangi mbali mbali, zimeonekana kama dreads zake mwenyewe

locs_3

tasha-smith nae alichanganya rangi kidogo

locs_4

mwanamitindo Tyra Banks nae hakupitwatrya-banks-faux-locs-516572674

Je ungependa hii style ipite au tuinigie nayo 2017? tuambie kupitia

Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Related posts