SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2018 Golden Globes Red Carpet
Mitindo

2018 Golden Globes Red Carpet 

Ilikua ni Black Golden Globe Affair, Golden Globes Awards ni tuzo za filamu bora America tuzo hizi zinajumuisha waigizaji na watu wote wanahusika katika maswala ya filamu, huwa zinafanyika kila mwaka na wengi huwa tunazisubiri kwa hamu kama ambavyo tunajua kwa wenzetu kuna ushindani mkubwa.

Katika Tuzo hizi mwaka huu wameamua kuvaa rangi nyeusi kutokana na ku-support gender equality, kama ni mpenzi wa habari utagundua kuna movement ya #meetoo ambayo hii wanawake kutoka sekta mbalimbali wanaongelea unyanyasaji walio kutana nao kutokana na kwamba wao tu ni wanawake.

Women and men across the industry wore black in support of the #MeToo movement and gender equality in light of the recent wave of Hollywood sexual harassment allegations. Many on the carpet also wore pins supporting Time’s Up, an initiative recently founded by 300 prominent women in entertainment to fight harassment and abuse in the workplace. The group, led by stars like Reese Witherspoon, Shonda Rhimes, Kerry Washington and America Ferrera, was the one to organize the all-black carpet and took the message to social media with #WhyWeWearBlack

Well hawa ndio walituvutia zaidi katika red carpet hii.

Marry J Blige

Jessica Biel Mariah Carrey 

Common in All Blacl suitReese Witherspoon.

Dwayne Johson Naomi CampbellEmilia Cralke Issa RaeJustin Timberlake Dacota Johnson Viola Davis

Related posts

4 Comments

 1. sig spear for sale

  … [Trackback]

  […] There you can find 72772 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-golden-globes-red-carpet/ […]

 2. หมอนวดอิสระ

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-golden-globes-red-carpet/ […]

 3. smart vape carts https://exotichousedispensary.com/product/smart-vape-carts/

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-golden-globes-red-carpet/ […]

 4. 토렌트 다운

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-golden-globes-red-carpet/ […]

Comments are closed.