2018 Kids Choice Awards zimefanyika, watu maarufu mbalimbali wame attend akiwepo Mariah Carey, Nick Canon, Zendaya na wengine wengi as usual kulikuwa na Red Carpet japo wao waliamua kulifanya liwe Orange Carpet, Na hawa ndio tuliopenda mavazi yao katika event hii
YARA SHAHIDI
Millie Bobby Brown ok this girl from stranger things is one to put an eye on, she is killing it kwenye fashion na uigizaji kwa ujumla we can’t wait for her to turn 18 already
Kat Graham
Sadie Sink
Kristen Bell
Caleb McLaughlin
Mariah Carey and Monroe Cannon
Zendaya
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-kids-choice-awards-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-kids-choice-awards-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-kids-choice-awards-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 80383 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-kids-choice-awards-red-carpet/ […]