Mwaka jana tuliandika kuhusu mwanadada huyu aliye potea kwa muda mrefu katika game ya muziki, lakini alikuwa anafanya kazi zake binafsi na pia blogging, well seems like kilio chetu alikisikia na akakifanyia kazi Nuru Magram a.k.a Nuru the light amerudi tena kwenye game na wimbo wake mpya unaitwa “umeniacha” well well well what a better way to start a year.
Well tume fanya mahojiano nae kujua tutegemee nini? anaongeleaje ulimwengu wa fashion kama blogger na haya ndiyo yalikuwa majibu yake.
Afroswagga: Tunaona umerudi kwenye muziki, tuambie ni vipi unaweza ku-manage blogging, kazi yako, fashion na muziki?
Nuru: Discipline and time planning bila hivyo hamna kitakachoenda.Kingine hivyo vyotr ni passion yangu so i enjoy doing all of it.
Afroswagga: Tunategeme video ya umeniacha kuwa fashionable video je umesha jipanga utavaaje? je utajistyle mwenyewe?
Nuru: The video is on youtube go and support.Idea nyuma ya mavazi ilianza na concept kutoka kwa the director so from there nikaanza kuplan the looks for each set na uzuri pia niliweza kupata au kufanya kazi na a stylist called Irfan Rizwanali.
Afroswagga: Huwa una pendeza sana una stylist au una ji-style mwenyewe? kama una jistyle wewe umesha wahi kufikiria kuwa stylist siku moja?
Nuru : .Yes looks zangu for the blog always najistyle mwenyewe na at shoots its hard at times with the small details so huwa napanga mavazi na kila kitu a day before the shoot,Ningependa sana kumstyle mtu na kuwa a stylist ni kazi ninaiheshim sana wale watu wanafanya sana kazi ili clents zao wapendeze na kumpendezesha mtu sio kazi ndogo
Aforswagga : nani ni best stylist wako hapa Tanzania?
Nuru: Kwa bongo bado sina kwani wengi huigana bado hakuna a risk taker..,
Afroswaga: As a fashion lover ni kitu gani unadhani watu wetu maarufu wana lack katika mitindo?
Nuru: Kujua miili yao na kuvaa kufuatana na miili yao,kingine hakuna individuality only Wolper na Lulu kidogo sio waoga wa kubadilisha muonekano wao mara kwa mara.Kuigana ni kwingi plus lack of stylists nchini na hata wakienda na fashion huiga but hawaput their personality in it.
Afroswagga: Tuambie your the must have’s beauty product & clothes
Nuru: A black dress,a black blazer and black trousers is a must.A pair of jeans,a white tee and a denim oversize shirt.FLare pants and I own so many kimonos.Napenda sana maxi dresses na scarf. Beauty products ni black soap,Nivea na Vaseline for my body na usoni ni black soap,Vichy na Kalamazoo from Lush
Nuru: I CALL THEM PORN SHORTS ambayo matako yanaonekana thats BIG NO.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 54255 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 54671 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2018-ni-mwaka-wa-nuru-the-light/ […]