SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2022 Started On The Right Fashion Foot
Mitindo

2022 Started On The Right Fashion Foot 

Tayari tumeshaanza kuipenda 2022, tukiwa ndio kwanza kwenye siku ya nne ya mwaka tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia mavazi yaliyotuvutia. kitu kikubwa zaidi tulichopenda kwenye mavazi haya ni kwamba yameshonwa hapahapa Tanzania na wabunifu wetu, hii inaonyesha tunavyoendelea tutaona mengi zaidi na wataendelea kukua zaidi.

Zamani tulikuwa tumezoea kuona wabunifu wakiwa na aina moja ya ubunifu huku wakiwa wanabadilisha rangi tu, kwasasa tunaona tunajaribu kutoka nje ya comfort zone yetu tunaona tunaanza kuweka touch’s zetu wenyewe na ku-keep up na trends za wenzetu.

Tumemuona Doris a.k.a ms_ris_eddy akiwa amevalia see through pearled dress kutoka kwa mbunifu shuu design na tunaweza kusema Shuu took her time to make this dress tunajua kwamba hizi pearls ameziweka yeye kwenye hii nguo na sio kwamba fabric ilikuja hivi, kudos kwake.

Lakini pia mwanadada Fahyvanny yeye akiwa amevalishwa na allie clothings, tulichopenda kwenye hii look kutoka kwake ni extra touch’s the head gear, that veil lakini pia hizi gold nails kwenye gloves zake (though tumesema gloves zibaki 2021 ila hii yake ni ya kipekee), tumechoka na nguva yes but the extra touch’s made this look different.

Miss Tanzania Juliana Rumugisa akiwa amevalishwa na Rackel Stylish ukiangalia kwa sasa closet dress ndizo zinazotrend tumependa namna ambavyo wameonganisha trend mbili kwa pamoja lakini bila kuonekana too much.

well let us know your thoughts on the looks.

Related posts

5 Comments

  1. is marijuana legal in florida

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2022-started-on-the-right-fashion-foot/ […]

  2. Watermelon 1.2g Wax Infused Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2022-started-on-the-right-fashion-foot/ […]

  3. more tips here

    … [Trackback]

    […] Here you will find 46483 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/2022-started-on-the-right-fashion-foot/ […]

  4. Leverage

    … [Trackback]

    […] There you can find 66037 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2022-started-on-the-right-fashion-foot/ […]

  5. 방콕마사지

    … [Trackback]

    […] There you will find 39292 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/2022-started-on-the-right-fashion-foot/ […]

Comments are closed.