SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wema Sepetu & Sishkiki Showing Us How To Wear Sexy Suit
Mitindo

Wema Sepetu & Sishkiki Showing Us How To Wear Sexy Suit 

Muigizaji Wema Sepetu na fashionista sishkikii wameonekana week hii wakiwa wamevalia suit, na sio tu suit ila ni sexy suit.

Unaweza ukajiuliza sexy suit ni nini, tumesha zoea kuona power suit. Zile suit ambazo zinavaliwa official kwa ajili ya official kwendea kazini au katika business meetings. Lakini kwa Wema Sepetu na sishkikii wao wametumia suit hizi kuwa sexy outfits na tumependa tulichokiona.

Wema alivaa red suit ambapo ilikuwa ni wide leg trouser akamalizia na cop top kwa juu ambayo ni kama coat ya suit au tuseme hii suit ilikuwa ni crop top coat na wide leg trouser suit. Alichagua kuwa minimum na accessories na akamalizia muonekano wake na bun hairstyle huku akiwa na bold red lips katika makeup yake. We love this look on her

Fashionista Sishkikii yeye aliamua kuthubutu kidogo kwa maana sio wote ambao wanaweza ku-pull off huu muonekano. Alivaa dark blue over sized suit, ambapo alivalia na sexy brallette akamalizia muonekano wake na kicks nyeupe. Huku yeye akiamua kuwa minimum kwenye accessories na makeup, amemalizia muonekano wake na short hair.

Well afromates ni matumaini yetu mmejifunza namna nyingine ambazo mnaweza kuvaa suit zenu.

Related posts

5 Comments

  1. wonka bar edible 300mg

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/23359/ […]

  2. Get More Information

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/23359/ […]

  3. Side hustle

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/23359/ […]

  4. automation Testing Tools

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/23359/ […]

  5. buy cloned cards​

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/23359/ […]

Comments are closed.