SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

High Waist Jeans Do And Dont’s
Mitindo

High Waist Jeans Do And Dont’s 

High wasted jeans ni jeans ambazo zinakuwa ndefu mpaka tumboni na zinashika kiuno kwa jina lingine wanapenda kuziita mom jeans, aina hii ya jeans inakufanya kuwa classic , casual , sexy and chic katika muonekano wako ila inategemea umevaaa na nini.

Katika kipindi cha hivi karibuni kulikuwa na jeans nyingi sana ila high wasted jeans siku zote ipo kwenye trends na ni timeless.

Jeans hii inavaliwa na kila rika na kila umbo, kama wewe ni mtu wa fashion na haujawai kujaribu high waisted jeans basi jaribu now.


Lakini kama ilivyo kwa mavazi mengine hiigh wasted jeans nazo zina do na don’ts na leo tuko hapa kukupa tips hizo

Do za high wasted jeans πŸ‘πŸΏ

1. High waisted jeans ni rahisi kuwa adapted katika situation yoyote, unaweza kuzivaa katika occassion yoyote inategemea na namna unavyo zi-style
2. Unavalia na kiatu chochote hiki ni kitu unique sana kwa jeans na high wasted jeans unaweza kuvalia na kiatu chochote kwa sababu zipo aina nyingi ya high wasted jeans. Unaweza kuvaa na sneakers , sandals , flats na nk.
3. Unaweza kuvaaa na accessories ya aina yoyote. Kama unavyojua high wasted jeans unaweza kuadd any accessories kwa sababu inakufanya uwe na tones ya jewels na power of contrast katika nguo yako.


4. Unaweza ukavaa na oversized blazers. endapo utakapokuwa umevaaa na top ambayo imekufit ili kuongeza mvuto katika muonekano wako unashauliwa uvae blazers ya rangi ambazo ni poweful au light ili kuongeza tones nzuri katika muonekano wako.

5. Unaweza ukachomekea au kuchomolea hii ni moja ya do ambayo muhimu sana katika kuvaaa high wasted jeans unaweza ukachomekea au kuchomolea kulingana na aina gani ya top uliyovaaa.
6. Unaweza kuvalia na crop tops zote na hii ndio njia ya kukufanya uonekane unaenda na wakati.

Don’ts za high wasted jeans 🚫
1. Usivae na oversized tshirt kwa sababu itafunika structure yote ya high wasted jeans na itakufanya uonekane kituko. Kwa nini usivae na oversized tshirts kwa sababu itakufunika shape yote na mahips na kufanya porpotion isionekane.

2. Make sure unavaaa high wasted jeans size yako ilikuepuka aibu ndogo ndogo coz hii aina ya jeans inatakiwa ikushape vizuri ili ifate mwili wako.
3. Kama unamatege basi usivae high wasted jeans inayobana chini kwa sababu itakuchora matege yako na kukufanya usiwe comfortable na nguo yako uliyovaaa.

Note: uzisahau kuwa na pair kadhaa za high wasted jeans katika kabati lako na usisahau katika mavazi hakuna kitu kilichopitwa na wakati inategemea umevaaa nini

Imeandikwa na gotchathegreatest

Related posts

2 Comments

  1. z strain mushroom vs golden teacher,

    … [Trackback]

    […] Here you can find 30197 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/27314/ […]

  2. Where to find DMT in Victoria

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/27314/ […]

Comments are closed.