SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Red Carpet Looks From The Oscars 2023
Mitindo

Red Carpet Looks From The Oscars 2023 

Tuzo za “The Oscars” ni Tuzo hutolewa kwa artistic na technical merit waliopo katika tasnia ya filamu, Watu maarufu mbalimbali ambao wapo kwenye Tasnia hii hualikwa na kuhudhuria hafla hii ya ugawaji Tuzo, well kwa mwaka huu imefanyika usiku wa kuamkia leo na tupo hapa kukupa all the looks tulizoziona kwenye Tuzo hizo

Muigizaji Angela Bassett alivalia purple dress kutoka kwa Moschino, mwanamuziki Rihanna alishow baby bump akiwa amevalia black leather dress kutoka kwa mbunifu Alaia na Janelle Monae alivaa custom dress kutoka kwa mbunifu Vera Wang

Kutoka Africa tuliwakilishwa na mwanamuziki Tems kutoka Nigeria ambae alivalia gown kutoka kwa mbunifu lever couture, Alikuwepo pia muigiza Halle Berry wore Tamara Ralph dress na Sofia Carson alivaa gauni kutoka kwa Giambattista Valli na kuwa styled by @nicolasbrustyle.

Wengine walio hudhuria Tuzo hizi ni pamoja na muigiziaji/mwanamuzili Lady Gaga alievalia Vercase dress, Fan BingBing alivalia gauni kutoka kwa Tony Ward na model Ashley Ghraham alievalia vazi kutoka kwa mbunifu Alberta Ferretti

Halle Bailey wore custom Dolce And Gabbana, Cara Delevingne In Elie Saab Couture dress na Danai Gurira wore a Jason Wu gown

Kwa wanaume tuliwaona Donald Glover wore Alexander McQueen cut out suit, Michael B Jordan in  Louis Vuitton na Lenny Kravitz wore Saint Laurent 

Wahudhuriaji walikuwa wengi na hawa ni baadhi tu ya tulio waona, tuambie look ya nani imekuvutia zaidi na nani ameboha?

Related posts