Kama tulivyosema ni mwezi wa kusambaza upendo, wakati wengine tukijisambazia wenyewe, wengine kwa marafiki na familia wengine wao wanasambaza upendo kwa wapenzi wao.
Week hii tumeona couple za watu maarufu kadhaa wakisambaziana upendo ambapo tumewaona
Auntie Ezekiel Na Kusah wakiwa wamevalia all black outfit, Auntie alivaa gauni nyeusi yenge mpasuo mrefu pembeni, akamalizia muonekano wake na pumps nyeusi nice makeup na ginger brown weaving. Kusah yeye alikuwa kwenye suit nyeusi na sling back loafers

Mwanamuziki Dogo Janja na mpenziwe Linah wao walionekana kwenye valentines day
Linah alivaa a nice red dress kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label huku Dogo Janja yeye akiwa amevalia black suit na kicks

Wa Mwisho ni Vanessa Mdee na Rotimi, as usal they had a match match look Vee akiwa amevalia all white wakati Rotimi yeye akiwa in purple suit coat na white trouser

Our awww committee member let us know which couple imekuvutia zaidi na muonekano wake
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-couples-who-are-giving-couple-goals/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 30748 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-couples-who-are-giving-couple-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-couples-who-are-giving-couple-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 3946 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-couples-who-are-giving-couple-goals/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 45361 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-couples-who-are-giving-couple-goals/ […]