its raining, raining ooh baby its raining raining kwa hii mvua we can definitely hear Rihanna akiiuimba huu wimbo, its rain season na hali ya hewa ikibadilika ni muda wa kufanya madiliko katika kabati lako, we all know huwezi kuvaa vest na hii mvua unless otherwise unakufa na fashion.
tumeona hizi outfit kutoka kwa hawa International models wanao tokea Tanzania na tukasema na hii baridi tunaweza kuwaazima hizi nguo maana zinafaa hasa katika kipindi hiki
Tunajiona kabisa knocking on Zara Bedel Door, tukiomba hii outfit, of course top tungevalia ndefu kidogo maana yeye amevalia crop na hii mvua na hili baridi hai-fit but the rest tungeazima, Leather pleated skirt are must haves katika season hii na high thigh boots cant be ignored, issa Yes for this outfit
Flaviana Matata Red outfit is life, na hii hali ya hewa ukivaa colors zinawaka vizuri, The red sweater is bae kukufanya ujisikie joto, of course you can’t skip sweat pants season hii na raba this outfit is Afro approved katika msimu huu wa mvua.
Full track suit outfit kutoka kwa Model Tausi Likokola can make you look effortless slaying the weather & hey na haya matope kama huna gari jaribu kuvaa dark colors nyeupe na hili tope hazipatani but kama una matairi manne why not?
Tuambie ni vipi una plan ya ku slay hii weather?
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 60402 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-outfits-we-can-definitely-borrow-from-these-models-thats-are-perfect-for-this-weather/ […]