Nude shoes are new black shoes, karibu kila Fashionista ana pair ya nude heels or flats. Rangi ya viatu hivi ni blush creamy beige zina-compliment every outfit just like black shoe.
Kwanini uwe na nude shoes kwenye kabati lako
1) ukitaka kuonekana mrefu – nude shoes zinaendana na skin tone za watu wengi, ukitaka kuonekana una urefu kidogo vaa nude shoes au pants zinazo karibiana rangi na rangi ya ngozi yako.
2) Unapo taka Attention iwe kwenye nguo zaidi – nude shoes blend in na ngozi hii ina fanya attention iwe kwenye outfit yako more kuliko kuwa kwenye viatu au miguuni.
3) Back up – pale ambapo unataka kuvaa outfit yako lakini rangi za viatu na nguo haziendani, nude shoes ni fits perfectly fine hapo.
P.S your shoes should always complement your outfit and not compete with it.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 54125 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-reasons-why-you-should-own-a-pair-of-nude-shoes/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-reasons-why-you-should-own-a-pair-of-nude-shoes/ […]