SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Reasons You Should Add Clear PVC Shoes On Your Shoe Rack
Mitindo

3 Reasons You Should Add Clear PVC Shoes On Your Shoe Rack 

Moja ya trend kubwa sasa hivi niย  Clear See Through Items, iwe coat, handbags, shoes etc, lakini ambacho ni kikubwa zaidi ni viatu. Watu wengi wameonekana kuvalia hivi viatu ambavyo muundo wake ni plastic vinaonyesha mguu tofauti na viatu ambavyo tumezoea kama ni gozi au plastic lakini vinakuwa na rangi ambayo ina cover mguu usionekane. Wakati trend inaanza tuliwaona watu maarufu wengi wakiwa wamevaa wakiwepo The Kardashian’s kwa mara ya kwanza hatukuielewa lakini kwa sasa tunaweza kusema inabidi umiliki pair hata moja ya viatu hivi katika kabati lako, iwe pumps, sandals, etc kwa sababu hizi tatu.

 

  • PVC Shoes Are The New Nudesย 

PVC shoes ni kama viatu vya nude hivi vinavalika na kila nguo utakayo itaka, sio lazima rangi iwepo katika vazi lako. Tunaweza kusema ni back up plan nzuri kama una vazi lako na hujui uvalie viatu vya rangi ganiย  PVC Shoes got your back every time

  • PVC Shoe’s vinakupa muonekano safi

Moja ya kitu ambacho kinaweza kukuvutia katika hii trend ni jinsi ambavyo viatu hivi vinakupa a clean look,ย  ukiachana na kuvaa viatu ambavyo vina match vazi lako au kuweka statement katika vazi lako hivi viatu husaidia kupolish vazi lako na kuonekana more clean & presentable, kama ukiwa na clean nails na mguu uliosafishwa vizuri basi unaweza ku catch people’s eyes on your legs.

  • Vinaweza kuvaliwa na kila vazi

Iwe unatoka casual, unaenda ku’have fun au uwe unataka kuvaa vazi classy hivi viatu vinaweza kukaa kila sehemu, ambacho tunaweza kukusahuri ni kununua pumps au strap sandals za aina hii zinaweza kukusaidia sana katika mavazi yako.

Note: si vizuri sana kutembelea juani vinaunguza lakini pia vinaonyesha jasho la miguu.

 

Related posts