SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 TIMES FASHIONISTA & FASHION BLOGGER LAVIDOZ ROCKED MUSTARD COLOR
Mitindo

3 TIMES FASHIONISTA & FASHION BLOGGER LAVIDOZ ROCKED MUSTARD COLOR 

Mustard Color bado ipo kwenye chat ni vile rangi hii imetulia na ina faa kuvaliwa na binadamu wa rangi yoyote, hivi ndivyo Fashion Blogger na Fashionista kutoka Tanzania, Lavidoz alivyo ivaa na kustyle rangi hii

Mara ya kwanza alivaa hii rangi kama Long Blazer ambapo ndani yake alivalia na Vest nyeupe. Skin Jeans ya blue, Brown mkanda ambao alimatch na mkoba pamoja na leopard print heels

13402431_1787330231497499_145940942_n 13408869_1027236543996255_1031602439_n

 

Mara ya pili ali vaa kama Kimono kirefu pia na vest nyeupe, skin jeans mcharuko ya blue na nude heels.14309857_344973935835135_4617815078492700672_n 14359461_1612580115701219_1180520573608919040_n

Mara ya Tatu amevaa rangi hii katika kimono kimoja (unacho kiona juu) lakini mara hii alivaa kimono hiki kama gauni pia alivaa na nude heels alicho badilisha ni kuvua suruali na vest na kubana nywele muonekano huu una weza kuonakano nao wakati wowote usiku na mchana

14360195_1803780796504606_3834141034833510400_n 14374330_149321565525308_1161623859967819776_n

Related posts