Kuna kitu kimoja katika kabati lako unakua unakipenda kuliko vingine, eidha ni kwa jinsi kinavyo kukaa, au labda uliletewa zawadi na mtu muhimu au huwa kina endana na vazi lolote uvaalo, inaweza ikawa nguo,pochi,kiatu, miwani au accessories. Former Miss Tanzania na sasa ni mama na mjasiriamali Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameonekana kuipenda hii Ombre Chanel Flap Bag yake, ameonekana akiwa ame istyle mara 3
Ameonekana akiwa amevalia striped kimono,grey outfit ame beba Chanel bag yake akimalizia muonekano na black open heels, shades na bold lipsticl nyekundu
Hapa alivaa all white, pumps akabeba na pochi yake
hapa aliamua kuwa colorful kidogo ambapo alivaa top ya njano, aliyo match na viatu, blue skin jeans na akamalizia na shades.
well we had to google hii pochi inauzwa shilingi ngapi tumeiona ambayo kidogo inafanana nayo inauzwa $9,999 karibu ifike $2000
ambapo ni sawa na tzs 4,400,000/- yes tunajua ni ada ya shule but huyu ni J.N.Mengi kama ungependa kushop bag hii click hapa
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-jacqueline-mengi-styled-her-2000-chanel-flap-bag/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-jacqueline-mengi-styled-her-2000-chanel-flap-bag/ […]