Kuna ule urafiki unafikia mpaka mnajiona mapacha, mnavaa sare hasa kwenye baadhi ya sherehe ambazo mnaalikwa pamoja, hii imeonekana kwa mwanamuziki Queen Darleen na rafiki yake Designed by Shuu ambao wao wanajiita Zena na Betina.
Well Shuu na Darleen huwa wanavaa sare na wakati mwingine wanavaa mishono tofauti lakini kitambaa kinaweza kuwa sawa, kama unarafiki yako na ulikuwa unawaza mnawezaje kuvaa sare au kutumia kitambaa kimoja ila mishono tofauti basi pata ideas kutoka kwao.
Unaweza kuona Shuu ni mpenzi wa nywele za rangi tofauti na Darleen ambae yeye ni mpenzi wa nywele nyeusi, lakini pia unaweza kuona namna ambavyo wana-represent body positivity.



Je wewe umependa mshono gani kati ya hii na upi unaweza kujaribu Red Sequin, Kitenge au Lace ya Kijani?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-shuu-darleen-served-some-bffs-wedding-guest-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-shuu-darleen-served-some-bffs-wedding-guest-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-shuu-darleen-served-some-bffs-wedding-guest-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-shuu-darleen-served-some-bffs-wedding-guest-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-shuu-darleen-served-some-bffs-wedding-guest-looks/ […]