Sote tunazile siku ambazo we don’t feel like dressing up, au labda una enda sehemu na hujui what to wear, well take this tip from Tanzania stylist & designer Rio Paul you just need that statement coat to elevate your look, from basic to bomb.
Jina tu la hii jacket/blazer/coat linajieleza, ni coat ambayo ina make statement kwa chochote ambacho umevaa iwe formal dress, simple outfit kama jeans au t-shirt ukiongezea na statement coat ina completely transforms your outfit.
this Balmain blazer gave this basic outfit a life.
huitaji kununua expensive statement coat unaweza kununua la bei rahisi lakini ile ambayo utaona inabeba muonekano wako, kama hii ambayo Rio amevaa hapo chini, the colors made it a statement na imefanya this all black outfit stands out.
Well afromates did you get the point? let us know how you elevate your looks.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-stylist-rio-paul-proved-to-us-you-only-need-a-statement-coat/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-stylist-rio-paul-proved-to-us-you-only-need-a-statement-coat/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-stylist-rio-paul-proved-to-us-you-only-need-a-statement-coat/ […]