Muigizaji Tifanny Hadish amekuwa kwenye head lines baada ya kurudia kuvaa hili gauni tena kwa mara ya tatu, Tifanny alisema akiwa ana hojiwa na gazeti la people kwamba tutaliona hili gauni mara nyingi iwezekanavyo akiwa kalivaa,
lakini ambacho tulikua hatuja kitegemea ni kuliona katika tuzo za oscars, well she did it effortlessly.
Alivaa same dress katika girls trip premiere, ni movie ambayo ame act na mastaa mbalimbali akiwepo Queen latifa,
Akaja kuivaa tena hii Gauni katika SNL, well Tiffany don’t play with her money ya”all
Na leo tumeiona hii gauni tena katika Oscar Awards ambapo kwenye red carpet alivaa hii culture dress ambayo mwenyewe ana sema ilikua inspired na marehemu baba yake
Katika kutoa Tuzo Tiffany alionekana ku-rerock the white dress na to make a statement alivua heels akashika mkononi huku miguuni akiwa amevaa fur slides,
what do you think about this sawa au she is being too much?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-tiffany-hadish-re-wear-her-white-alexandra-mcqueen-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-tiffany-hadish-re-wear-her-white-alexandra-mcqueen-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-times-tiffany-hadish-re-wear-her-white-alexandra-mcqueen-dress/ […]