SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Times We Had A  Crush On Jocelyne Maro Wedding Guest Styles
Mitindo

3 Times We Had A Crush On Jocelyne Maro Wedding Guest Styles 

Jocelyne Maro ni mwanamitindo kutoka Tanzania lakini pia ni mama, well Jocelyne ni moja kati ya wale wadada ambao tunasema ukiwaalika katika harusi yako inabidi ujibebe, she ain’t playing linapokuja swala la kupendeza akiwa katika mitoko kama harusi, leo tuna crush na wedding styles zake na hizi ndizo tulizo zipenda

This blue number is just breath taking, tumependa makeup, hair do mara nyingi huwa tunasema ukivaa mavazi haya akikisha the face & neck vinaonekana seems like Jocelyne real know whats popin,tumependa accessories pia.

 

Amen to this gray dress, the dress ni statement so she went less on her makeup, tunatamani picha ingeonekana vizuri the colors and details nyingine tukaziona vizuri lakini what we are sure of is alipendeza and this dress is just wow.

Shimy Shimy Jocelyne akiwa amevalia purple & cream dress tunaweza kusema anapenda hii mishono ambayo shoulders za gauni na gauni lenyewe  vinakuwa vinaonaongea zaidi na kuwa less usoni na nywele which works well for her, tunaweza kusema she knows her body & what works for her well.

Well tuambie wewe mshono upi umekuvutia zaidi?

Related posts