SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Tips On How To Wear Black And White To Work
How to Rock

3 Tips On How To Wear Black And White To Work 

Kama kuna mavazi rahisi ku-style mavazi ya meusi na meupe kazini, lakini wengi tunayaepuka sasa hivi kutokana na kuwa ni work uniform ya ofisi nyingi sana na sote tunajua namna gani wa fanya kazi wanachukia sare za ofisi. Lakini pia tulisha wahi kusikia Lady Gaga ali-mistake Ed Sheeran na bar tender kutokana na mavazi yake ( you wouldn’t want to go through this embarassment)

Leo tunakuletea Tips tatu za namna gani unaweza kuvaa black & white ofisini na usionekane kama umevaa sare.

  • Mix patterns

Ofisi nyingi wanavaa sare za ofisi ambazo ni black & white, kama ungependa kuvaa rangi nyeupe na nyeusi ofisini na hupendi uonekane kama umevaa sare basi unachotakiwa kufanya ni kuchanganya prints, unaweza kuvaa plain skirt na polka dots au stripes shirt na vise versa

Ongezea rangi katika outfit yako, kama ungependa kubeba pochi ya rangi nyingine, viatu au blazer ya rangi nyingine hakikisha rangi ina pop au kufanya muonekano wako uonekane wa tofauti kidogo sio plain black & white.

  • Don’t make it look too obvious 

jaribu kuwa minimum na mavazi yako ya black & white hakikisha mtu ha-notice kirahisi kama ulitaka kuvaa black and white outfit

Unaweza kuongezea vionjo vyako kwa ku-accessorize muonekano wako kwa accessory mbalimbali na kufanya usionekane kama umevaa black & white plain outfit hii itanyanyua muonekano wako zaidi, hata kama ndio work uniform outfit yenu itakufanya u-stand out.

 

Related posts

2 Comments

  1. lsd blotter image,

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-tips-on-how-to-wear-black-and-white-to-work/ […]

  2. ยารักษาหนองใน

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-tips-on-how-to-wear-black-and-white-to-work/ […]

Comments are closed.