SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Tips To Get Dressed Quicket To Work
Mitindo

3 Tips To Get Dressed Quicket To Work 

Umetoka zako out weekend umechoka unaamka asubuhi hujui uvae nini unapoteza muda kutafuta nguo matokeo yake wewe ni mchelewaji sugu kazini kila siku upo kwenye chumba cha HR kusemwa kuhusu uchelewaji wako lakini je wajua hili linaweza kubadilika na ukawa unatoka vizuri bila ya kuwa na stress ya kuchelewa kazini


•Andaa Mavazi Yako Mapema
Kinacho chelewesha zaidi asubuhi ni kujua uvae nini na kipo wapi, hakikisha kabla hujatoka kwenda kwenye mitoko yako ya weekend umepanga mapema utavaa nini siku gani kama ikiwezekana nyoosha mavazi yako kabisa ili upate muda wa kupumzika mrefu pia


•Chagua viatu pamoja na accessories utakavyo valia mavazi yako mapema

hii inasaidia sana kwenye ku save muda wa kuanza kutafuta ni kiatu gani uvalie kama kichafu au kisafi, hakikisha unajipanga mapema na kama vichafu unasafisha


•Kuwa na blazer tofauti tofauti
Blazer huwa zinasaidia sana mfano una haraka na hujui cha kuvaa unaweza kutupia suruali yako na blazer au gauni na blazer ukapendeza na kwenda ofisini

Bonus Tip: Hakikisha nywele na kucha zako zipo vizuri

Related posts