SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Ways To Style Short Part Suit
Mitindo

3 Ways To Style Short Part Suit 

Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumekutana na hii style ambayo tumeona ina trend kwa sasa na hii ni suit ya vikaptula. Suit ambazo zimezoeleka ni zile za skirt na suruali ndefu, japo suit za kaptula zipo miaka na miaka lakini ni mara chache kuonekana zimevaliwa yaani trend yake ni yakuja na kuondoka.

Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumekutana na watu maarufu watatu ambao wamevalia suit hizi za vikaptula na wakatupa namna 3 za kustyle suit hizi kama ni mpenzi wa suit na usingependa kuvaa zile ambazo zimeozoleka sana basi hii style itakufaa zaidi.

Tumemuona Salama akiwa amevalia suit hii ikiwa na rangi ya cream kwake yeye alivalia casual kidogo akiwa na tshirt ndani ya suit, raba, socks akamalizia muonekano wake na saa na miwani.

Lakini pia msanii Maua sama na yeye alionekana akiwa amevalia suit hii ya rangi cream pia, yeye alikuwa kwenye chic look amevalia suit hii na pumps nyeupe amemalizia muonekano wake kwa kubeba small bag nyeusi na chandelier earrings na bracelets.

Huku stylist Macrida Joseph yeye alivalia suit hii in sexy style ambapo alivalia na scarf crop top yenye rangi nyekundu akamalizia na red bottega wrap tie mesh pumps na mini bag perfect for a night out.

we love all the looks inategemea unaenda wapi na wakati gani lakini ni piece ambayo unaweza ku-style mara nyingi uwezavyo kama ambavyo tumeona hapo juu, well let us know style ipi imekuvutia zaidi?

Related posts

7 Comments

  1. youtube videos download

    … [Trackback]

    […] There you can find 29805 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  2. mm88

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  3. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  4. bernedoodle puppies

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  5. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] There you will find 96119 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  6. Darknet market links 2023 thank You!

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

  7. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/3-ways-to-style-short-part-suit/ […]

Comments are closed.