SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MUONGOZO WA MAVAZI KWA WENYE MIILI MIKUBWA
Mitindo

MUONGOZO WA MAVAZI KWA WENYE MIILI MIKUBWA 

Watu wenye miili mikubwa wana pata shida zaidi katika mavazi hasa katika kipindi hiki cha Ramadhani, mabaibui na madira ndio vazi kubwa kwa watu hawa. Hasa kwa sababu wabunifu wetu nao wamewasahau lakini leo tutawapa tips ambazo zinaweza kuwasaidia katika mavazi na kupata muonekano wa kisasa.

Penda kila kitu kuhusu wewe (jipende), kujipenda ndio kitu ambacho kina weza kukufanya uweze kujua nini kina kaa vizuri katika mwili wako na kipi hakifai.

Mtu yoyote mwenye umbo kubwa anaweza kuvaa nguo yoyote anayo ipenda kama tu ataipa muonekano wa kuvutia zaidi na atapendeza zaidi, ukubwa wa umbo hauzuii kupendeza.

Je kipi kina faa kuvaliwa na mwanamke mwenye umbo mkubwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na kipi hakifai

Je kipi kinafaa kuvaliwa na mwanamke mwenye umbo kubwa katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani na kipi hakifai.

suruali za kubana mpaka chini si chaguo sahihi kwa maana zinaonyesha umbo la miguu yako na haito onekana vizuri katika macho ya wengine

 

tumblr_musxu3hPzY1qzdgu6o1_1280

bali chagua suruali pana za lineni au suruali zenye miguu mipana zina faa zina faa zaidi kuvalia na hijabDSC_2332

Usivae nguo zenye mkanda katikati zita onyesha ukubwa wa tumbo na matiti inakupa muonekano mkubwa zaidi.Badala yake chagua maxi gauini au sketi hizi zina faa kwa mwenye mwili mkubwa au hata mdogo hazichagui

060b7745024734317d71abb2eefcb9aa

mwisho usivae hijab iliyo shonwa kabisa

al amira

 

bali tafuta hijab ambazo unaweza kufunga mwenyewe na kubadilisha staili

Flower-Bunch-Grey

 

Related posts

2 Comments

  1. empresa serviços informática

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/358/ […]

  2. comprar reseñas positivas

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/358/ […]

Leave a Reply