2017 umekua mwaka wa fashion ukiachana na muziki na movie’s watu wamekuwa waki concentrate na fashion sana mwaka huu, tumeona vingi vya kuchekesha, kuchukiza, kustaajabisha lakini pia vilikuepo vya kupendeza, leo tumewaletea 4 dresses ambazo tumeziona na tukazipenda kutoka kwa mastaa maarufu na nyingine zikiwa zimebuniwa na wabunifu wetu wa hapahapa Nchini kwetu Tanzania.
Gold Ball Gown ambayo ilivaliwa na Jokate Mwegelo ikiwa imebuniwa na mbunifu Mac Couture, ni very rare kumkuta m-Tanzania kavaa ball dress wengi wetu tumezoea nguva,hii imemfanya Jokate kuwa unique lakini pia muundo wa gauni ni mzuri, perfect color choice
Red Pencil Dress iliyo valiwa na Elizabeth Michael “lulu” katika uzinduzi wa movie ya T-junction,ukiachana na kwamba hakuvaa nguva kwenye red carpet hii gauni inaishi kuna zile nguo ambazo unaweza kuvaa na kila ukiangalia picha unaona umependeza na unaweza kuivaa tena na tena ndio hii its a timeless piece.
Detachable Dress iliyo valiwa na Wema Sepetu a.k.a Tz Sweetheart iliyo buniwa na mbunifu Elisha Red Label , Detachable Dresses zime trend sana mwaka kuu zimevaliwa kwenye red carpet, harusini na kwenye mitoko mbalimbali mwanadada Wema Sepetu akiwa ameivalia ndani ya mkono wa Elisha alipendeza mno imekuwa unique as Tanzania hazikuvaliwa sana.
Mermaid Blue Dress hii ilivaliwa na bi Hamisa Mobetto katika sherehe ya mwanae, hii piece hamisa anaweza kuitumia tena na tena katika sherehe mbali mbali na bado akapendeza.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 46464 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 64545 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-beautiful-dresses-we-spotted-2017/ […]
pharmacy store layout design
4 Beautiful Dresses We Spotted 2017 – AfroSwagga Fashion Blog