Kama ukituamsha leo na kutuambia ni stylist gani watatu ambao wamefanya kazi nzuri mwaka 2017, basi hawa ndio ambao tutakutajia,
The Stylist – Rio Paul & Noel Ndale
Tukiachana na wao kushinda Stylist Of The Year, Rio na Noel wamejitahidi sana ku- style wasanii na watu wa kawaida mwaka huu from red carpets,
Music Videos ame mstyle Diamond Platnumz katika wimbo wake wa Sikomi
lakini si huu tu upo wa rey Mysterio Banus na nyingine nyingi. Graduation, Music Covers etc, tumependa kazi zao nyingi na we appreciate them kwa kuwapiga msasa wasanii wetu.
JouJou Style
Ukiachana na kuwa up coming Joujou amefanya kazi kubwa mwaka huu kuanzia ku-style wasanii kwenye majukwaa ya fiesta mpaka kwenye music videos, ame wa style wasanii kama Vanessa Mdee, Maua Sama na wengine wengi,
pia ame wa style Maua na Vanessa katika video yao mpya ya Bounce & she did a good work.
Ukimuongelea Swalha unaongelea Classic And Elegants looks, huwa ana style wateja wake like how she would style her self, amefanya kazi na watu wengi mwaka huu kama Judith Wambura Jide Jay Dee na Julitha Kabethe Miss Tanzania 2017/18
Macrida Joseph
ukiachana na kuwa model mzuri, Macrida umetuzihilishia kwamba ni stylist mzuri pia anae weza kukubadilisha kutoka 0-10 real quick tumemuona akifanya kazi na watu maarufu mbali mbali kama Miss Tanzania 2016 Diana Flave ambae kiukweli huwa anampa muonekano wa kimiss kweli lakini pia amefanya kazi na model Zara Bedel na Jokate Mwegelo tumependa tulicho kiona
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-best-fashion-stylist-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-best-fashion-stylist-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-best-fashion-stylist-2017/ […]