Stella Uzo ni Fashion Blogger kutoka Nigeria, tuna penda jinsi style ana weza ku style kitu chochote na akapendeza beyond mawazo ya mtu, na hizi ni namna nne ambazo Stella ali style sneakers zake tuka penda, na tuka fikiri ku-share na wewe ili uweze kupata idea ya jinsi unavyo weza kuzi style sneakers zako.
Stella ame style white & Grey sneakers zake na trumpet min skirt nyeupe na gray t shirt.
pleated skirt zipo in trend kwa sasa, na Stella aliamua ku style skirt hii na black tee na sneakers nyeupe, very comfortable & stylish
Hii tumeipenda zaidi, black tutu skirt, off shoulder blouse nyeusi pia na sneakers zenye weupe na weusi. Tume penda jinsi ame pull the outfit together na jinsi alivyo tuonyesha namna ambavyo una weza ku switch outfit hii kutoka kwenye flats hadi heels
ya mwisho ni jinsi ame style sneakers na pink suit.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…