Katika Dunia kuna namna unaweza kufilisika lakini in a way mwenyewe unaona kwamba ni sawa sisi tunaita fashionably broke, kwamba unakuwa huna pesa lakini unaonekana vyema kimuonekano, which kimuonekano inaweza kuwa sawa ila kwa ndani si sawa. Leo tunakuletea namna 4 unaweza kuwa fashionably broke as a woman
- Keeping Up With The Fashionistas
Kuwa mtu ambae kila unachokiona kwakina Toke Makinwa, Kim Kardashian, Vanessa Mdee na wewe utake kuwa nacho, wakati kumbe uwezo wako na wao tofauti, you’ll go broke sis.
- Sare Za harusi
Hii ni topic nyingine amabayo tutakuja kuiongelea ila tu tungependa kukwambia huitaji kununua sare za harusi kilapale utakapopata mualiko matter of fact sio lazima kuhudhuria, lipia mchango kutoa support mengine achana nayo mwisho wa siku utajaza kabati na sare bila kujua utazivaa wapi tena.
- Keeping Up With The Dubai Trend
Kuna hii namna tunaona watu wakiwa vacation Dubai, au hata hapo Zanzibar ukaona kama yeye kaweza basi na wewe utashindwaje, sio mbaya kuwa na selfcare ila makesure you can afford it twice kabla hujaenda na sio kwenda unarudi broke.
- Keeping Up With The No Fake Zone
Kuna wale ambao hatuwezi ku-afford vitu original lakini tuna force kwasababu tu tuonekane tumevaa og, hii ni easiest na quickest way ya kufilisika.
Bonus: New phone / Iphone no keep up with the mirror selfies.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-fashionable-ways-to-go-broke-as-a-woman/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 1973 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-fashionable-ways-to-go-broke-as-a-woman/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-fashionable-ways-to-go-broke-as-a-woman/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-fashionable-ways-to-go-broke-as-a-woman/ […]