Leo ndio ile siku tulikuwa tunaisubiri kwa hamu watu wa fashio, maana hizi event zetu ni chache mno ikitokea moja tunaisubiri kwa hamu, well theme ya hii event ni red & white.

Tukiongelea theme ni kwamba unatakiwa uvae vazi lako ndani yake kukiwa na a touch ya red au white, sio lazima kuvaa full red au full white au lazima uvae red na white outfit hapana unaweza kuvaa black na white utakua umeenda na theme kwa kuvaa nyeupe, una weza kuvaa nguo za rangi nyingine ukaongezea na kuongezea accessories, jewerly au clutch za rangi nyekundu.

Hizi ndio outfit 4 za haraka tulizo kuandalia unaweza kuiga au kupata idea ya vipi unatakiwa kutokelezea

Its a fashion show na sio award event so unaweza kuvaa classy, sexy casual etc.

Hapa tumekupa idea ya jinsi unaweza kuvaa wide leg yako ya kazini to a event, vaa a brallete ambayo imefunikwa sehemu ya maziwa, wide leg ya rangi uiependayo lakini kumbuka rangi zinazo takiwa, clutch na open heels. quick & fashionable right?

Blazer & sequin trouser, well well well isn’t this a turn head? unaweza chagua suruali nyekundu na blazer ya nude any color as long as uneandana na theme, ukavaa na hereni na mules,a quickie yet classy.

Plaid blazer zina trend kwa sasa unaweza kuvaa a tuxed plaid dress na red boots au heels na kua-accessorize upendavyo.

Short pants na brallete

matumaini yetu umepata idea ya nini uvae thanks us later.