SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

4 Tanzanian Stylish  Hijabista To Follow On Instagram
Mitindo

4 Tanzanian Stylish Hijabista To Follow On Instagram 

Well ni Ijumaa nyingine tena ambapo huwa tuna waletea fashion za hijab,na fashionistas wanao vaa hijab stylish. Leo tunawaletea hijabista 4 wa kuwa follow instagram ambao ni wa Tanzania, kuna ambao tume penda style zao za mavazi, make up na hata wanavyo funga hijab zao, kama wewe unavaa hijab au unapenda kuvaa na hujui ujistyle vipi unaweza kuwa follow

Kama ambavyo jina lake la Instagram linavyo jieleza, Faridah is a queen linapo kuja swala la kuvaa na ku style abaya zake, kuanzia casual, office hadi night events, tunapenda jinsi alivyo neat lakini pia anavyo pangilia rangi zake. kama wewe ni m’dada wa makamo fulani unae penda kuvaa abaya kidada & yet stylish basi Faridah ni jibu lako

 

 

 

Amina yeye style zake ni za kisichana, sio mara nyingi kumuona kavaa abaya mostly ni suruali, skirt na magauni & she is real good na kupangilia rangi, style zake ni modern kama kuvaa raba na skirt, vimono etc, kama wewe ni msichana ambae ungependa kuvaa suruali zako na hijab follow her.

 

Amina ni mama wa makamo ambae ana penda mitindo, her style ni za wamama but very clean and stylish, kama ni m’mama na ungependa kujua au kupata mtu ambae anaweza kukupa idea ya namna gani uvae abaya, gauni zako na hijab Amina ni jibu lako na pia anauza nguo ni rahisi kuzipata kama utapenda alizo vaa.

Ni fashion blogger ambae ana kuonyesha namna ambavyo una weza kujistiri na bado ukawa stylish ni mdada wa makamo ambae style zake ni rahisi ku copy, she is colorful & trendy

 

kusoma namna ya kustyle hijab na fany packs bonyeza hapa

Related posts

5 Comments

  1. Source

    … [Trackback]

    […] Here you will find 22110 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-tanzanian-stylish-hijabista-to-follow-on-istagram/ […]

  2. Buy Psychedelics Melbourne

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-tanzanian-stylish-hijabista-to-follow-on-istagram/ […]

  3. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-tanzanian-stylish-hijabista-to-follow-on-istagram/ […]

  4. Where to buy DMT Australia

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-tanzanian-stylish-hijabista-to-follow-on-istagram/ […]

  5. guns for sale

    … [Trackback]

    […] Here you will find 12322 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-tanzanian-stylish-hijabista-to-follow-on-istagram/ […]

Leave a Reply