Hali ya hewa inaruhusu kuvaa crop top’s ( sio barabarani though). Kwetu huu uzungu bado haujafika wa kutembea kitovu nje barabarani japo haimaanishi hatuwezi kuvaa sehemu nyingine kama club, beach, movie theaters au sehemu za kujinafasi ( again usivae hivi kama unapanda daladala au community transport ni hio miluzi na curse utapewa) kama unapanda private transport basi unaweza kujinafasi.
Moja kati ya fashionista waliotuvutia na style zao za croptop ni Ayanda Thabethe, yeye huwa anazi-style simple lakini neat na chic hana mambo mengi, tumeona sio mbaya tukikuwekea hapa labda utapata idea ya kustyle ya kwako weekend hii
Unaweza kuvaa na pencil skirt au lather pants for a change, wengi tunapenda kuvaa jeans na crop tops lakini kuna mavazi mengine pia ukivalia zinapendeza.
Crop top with jeans, yes unaweza kuvalia na heels au kicks ni wewe na comfort-ability yako na wapi unapoenda.
We hope your having a fashionable weekend .
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-fashionista-ayanda-thabethe-showed-us-how-to-style-crop-tops/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-fashionista-ayanda-thabethe-showed-us-how-to-style-crop-tops/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-fashionista-ayanda-thabethe-showed-us-how-to-style-crop-tops/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-fashionista-ayanda-thabethe-showed-us-how-to-style-crop-tops/ […]