SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

4 Times Hamisa Mobetto Showed Us How To Rock Denim
Mitindo

4 Times Hamisa Mobetto Showed Us How To Rock Denim 

Ni Ijumaa nyingine tena na tunakuletea segment ya Drip Vibe Check ambapo hapa tutakuwa tunaangalia outfit mbali mbali za wasanii na namna ambavyo wamezivaa. Since tumeanza segment mwisho wa week tumeona sio mbaya tukimleta mwanamitindo, video vixen, mwanamuziki lakini pia ni mjasiriamali Hamisa Mobetto.

Leo tunaangalia namna ambavyo amevaa denim zake, anaweza kuku-inspire na wewe weekend hii ukavae ya kwako kama ambavyo yeye amevaa.

Simple yet chic & Stylish sometimes all you need ni another extra accessory kufanya outfit yako i-stand out.

Wakati mwingine unahitaji jeans yenyewe ku-make a statement na kwenye outfit hii Hamisa ame-make statement na hii ripped jeans yake, tumependa namna ambavyo amevaa off shoulder top kuonyesha skin juu pia.

How about short denim pant? Unaweza kuvaa huu mtoko kama una mtoko wa usiku na marafiki n.k

Tukiongelea Denim On Denim. tungevaa hii outfit kwenye date

Well Afromates let us know wewe huwa unavaaje Denim zako?

Related posts

3 Comments

 1. แทงบอล

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-hamisa-mobetto-showed-us-how-to-rock-denim/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-hamisa-mobetto-showed-us-how-to-rock-denim/ […]

 3. Institutional Repository

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-hamisa-mobetto-showed-us-how-to-rock-denim/ […]

Comments are closed.