SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

4 Times Jacqueline Mengi Showed Us How To Style A White Skinny Jeans
How to Rock

4 Times Jacqueline Mengi Showed Us How To Style A White Skinny Jeans 

Katika vitu ambavyo ni wardrobe essentials basi skinny jeans nayo ipo, iwe nyeupe, nyeusi, grey au hata blue as long as iwepo. Ni rahisi ku style lakini pia unaweza kuingia nayo popote kama tu uta-istyle kutokana na tukio na eneo uendalo. Well mwanadada Jacqueline Mengi ni moja kati ya watu maarufu ambao wana slay kinoma noma na ni mpenzi wa mavazi meupe ikiwepo skinny jeans. Na hizi ni mara 4 ambazo Jacqueline ametuonyesha jinsi ya kustyle jeans hii.

Jacqueline alivaa hii plain white skinny jeans yake na vest nyeupe, huku akiwa ametupia na blue & pink floral kimono, ame accessorize na miwani akiwa amebeba mini bag ya pink huku akimalizia muonekano wake na white pumps, unaweza kuvaa hivi ukiwa una meet na marafiki zako au window shopping.

Tukamuona tena na suruali plain nyeupe ambayo aliistyle na white one shoulder ruffle top, akamalizia muonekano wake na miwani na chic white heels.

Tulimuona pia akiwa amevaa distressed white skinny jeans na vest ile ile nyeupe, akiwa ameongezea na blazer nyeupe, ame accessorize na bold pink lipstick, miwani na her favorite Panama hat, amemalizia muonekano wake na black pumps.

she again styled her distressed white skinny jeans na white vest hapa alivaa na turquoise & pink floral kimono, akamalizia muonekano wake na turquoise pumps na miwani.

Well mmeweza kuona jinsi Jacqueline anavyo re-rock jeans zake na hata nguo za juu kama vest bila kuwa boring na unaweza husi-notice, unaweza kuwa na nguo chache kabatini ila ukazivaa tofauti tofauti mara nyingi bila ku-bore.

Related posts

7 Comments

  1. lsd blotter names,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

  2. Best Psychedelic Store Brisbane

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

  3. NKSFB Bolno

    … [Trackback]

    […] There you can find 56210 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

  5. 웹툰 사이트

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

  6. where to buy microdose psilocybin

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/4-times-jacqueline-mengi-showed-us-how-to-style-a-white-skinny-jeans/ […]

Comments are closed.