Wasanii Kutoka Africa Na Pande Nyingine Za Dunia Walijumuika Pamoja Katika Kinyang’anyiro Cha Kuwania Tuzo Za Muziki Za MTV Africa Muziki, Ambazo Zilifanyika Durban International Convection Centre, KwaZulu-Natal, South Africa Siku Ya Juma Mosi Julai 8 2015
Wasanii Wengi Walikuepo Na Wengi Walipendeza Wafuatao Ni Wachache Kati Ya Wengi Ambao Walipendeza Na Mitindo Yao
Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) Mshiriki Kutoka Tanzania Ambae Pia Alishinda TUZO ya Best Act Alituwakilisha Vyema Kimitindo Na Kisanii, Suti Ya Rangi Ya Zambarau, Shati Jeupe Alilo Yakinisha Na Converse Nyeupe Pamoja Na Urembo Wa Gold.
Yemi Alede Mshiriki (Msanii) Kutoka Nigeria Ambae Pia Alishinda Tuzo Ya Best Female.
Boity Thulo Ni Mtangazaji Na Mwanamitindo Kutoka South Africa.
Jesicca Nkosi Kushoto, Muigizaji Kutoka South Africa
Nomuzi Mbena
Vanessa Mdee Mshiriki Kutoka Tanzania Ambae Alishiriki Pia Kama Msanii Bora Wa Kike Lakini Hakushinda
Psquare, Bonang Matheba Na Dbanji
Neyo:
Washindi Wa MTV Mama
Best Female: Yemi Alade (Nigeria)
Best Male: Davido (Nigeria)
Best Group: P-Square (Nigeria)
Best New Act Transformed by Absolut: Patoranking (Nigeria)
Best Hip Hop: Cassper Nyovest (South Africa)
Best Collaboration: AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria)
Song of the Year: Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)
Best Live: Diamond Platnumz (Tanzania)
Video of the Year: “Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw
Best Pop & Alternative: Jeremy Loops (South Africa)
Best Francophone: DJ Arafat (Ivory Coast)
Best Lusophone: Ary (Angola)
Personality of the Year: Trevor Noah (South Africa)
MAMA Evolution: D’Banj (Nigeria)
Best International: Nicki Minaj
Artist of the Decade: P-Square
MTV Base Leadership Award: Saran Kaba Jones & S’Bu Mavundla
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 3487 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/400/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/400/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/400/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/400/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/400/ […]