We love us some Female Celebrity ambao wana slay, sometimes unaweza kuona kama ni competition jinsi ambavyo huyu anapost kapendeza na huyu anapost kavaa kumzidi basi alimradi raha, mwaka 2017 unakaribia kuisha and we must say list ya waliopendeza mwaka huu imetutoa jasho kila mmoja wao amepenza kumzidi mwenzie lakini ndio hivyo ilibidi tupate watano wakali zaidi.
- Elizabeth Michael – sisi tunamuita kinyonga anapendeza katika kila kitu iwe skirt and blouse, jumpsuit, suit, gauni etc, Eliza amekuwa namba moja tena mwaka huu kutokana na mitoko yake she does not slay for the gram she slays in reality pia, pia she does not slay for red carpets bali casual na her wedding guest game is strong hutataka ukutane nae sekta hizo. japo kuwa hajapata nafasi ya kumaliza mwaka ulaiani lakini tuna uhakika angeipata hio nafasi ange slay per usual.
- Jokate Mwegelo – huwezi kumuacha Jokate ukiogelea slayers, mwaka huu amekuwa akipendeza na to think that ameingia katika UVCCM ameongezewa jukumu upande wa serikalini lakini she still manages to slay huko, mitoko ya kawaida na red carpets, when slaying is in the blood nothing can stop you.
Hamisa Mobetto – A mother of two ambae her snap back game is so strong & She is body goals kwa wengi nae hakua nyuma on slaying, She wore beautiful dresses kwenye event zake, she made sure to leave a mark. Too bad hajaonekana kwenye red carpet nyingi
- Jacqueline Mengi – Mama wa watoto wawili ambae aliwahi kuwa Miss Tanzania lakini pia kuwa mwanamuziki na sasa amehamia kwenye ubunifu wa furniture Jacqueline nae hakuwa nyuma mwaka huu, she slayed 2017 from January to December
Julitha Kabete – Miss World Tanzania 2017/18 na aliye tuwakilisha katika Miss Africa mwaka jana Julitha nae ametisha sana mwaka huu kimavazi she slayed katika outfit tulizo muona nazo she is one girl ambae tunamtabiria kuwaangusha hawa slayers wakubwa endapo tu atakua na effort za kutu update na mavazi yake mara kwa mara.
Kusoma our top 10 best dressed female’s wa mwaka jana click hapa
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-female-celebrity/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-female-celebrity/ […]