SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 BEST DRESSED TANZANIAN MEN
Mitindo

5 BEST DRESSED TANZANIAN MEN 

Tunaelekea mwisho wa mwaka na kama ilivyo shule ukimaliza msimu mmoja lazima upate matokeo yako (report/results) kujua umefaulu au la na ndivyo ilivyo kwetu Afroswagga kila mwaka huwa tunatoa matokeo ya walio pendeza zaidi na walio haribu zaidi katika fashion industry kwa kuanza tunaanza na wanaume ambao wao wameonekana kutisha sana mwaka huu kimavazi,

Juma Jux – Kama ingekuwa sio uanamuziki tuna predict Juma angekua stylist au fashion blogger, sio rahisi kujua Juma atakuja na nini au atavaa nini kesho he is stylish, Si hivyo tu Juma keeps up with trends anajua whats in and whats out na always ana style his own ways, kubwa kabisa ni kwamba ni msanii ambae ana pendeza hata akiwa nyumbani si kama wengi ambao tuna wa judge na apperance zao za red carpet. Juma Jux he is our 2017 best dressed Tanzanian Man.

 

 

 

 

Rio Paul – what to expect from a stylist than style it self, Rio ame tu bless na red carpet appearance ambazo ni fashionable lakini pia he had business appearance na casual za hapa na pale, hata kama ana majukumu mengi upande mwingine bado style ipo kwenye damu yake. we bow down for you Rio

Idris Sultan – hi there Idris, Idris ame onekana kwenye event chache mwaka huu lakini pia amekuwa mgumu kupost outfits zake za kila siku mara kwa mara,  katika event alizo onekana Idris ameonekana kupendeza lakini pia mwaka huu ameshinda tuzo mbili za Fashion ikiwepo style icon of the year 2017 katika Tuzo za Swahili Fashion Week na most sylish/dressed celebrity male Africa hizi zilifanyika Uganda.

 

 

 

Mtani Nyamakababi au Mtani_beskopemen wear designer Mtani Nyamakababi he did not just dress people this year bali pia amejivalisha mwenyewe, japo ana few appearance katika red carpets lakini zile chache tulizo ziona zimetufurahisha

 

Andru Julian Mahiga a.k.a drudysseus – ni moja kati ya wanaume wanaojua kuvaa Tanzania japo hajulikani sana lakini sisi tumepata kumjua kutokana na mitindo yake, style zake ni very simple & calm. kitu ambacho tunapenda zaidi kutoka kwake ni kwamba he is effortless slaying.

 

Unaweza kushikumbusha hapa na best dressed men wetu wa 2016

Related posts

7 Comments

 1. why not check here

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 2. quality dope

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 3. wavy bar mushroom

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 4. ufabet911

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 5. benelli firearms for sale

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 6. motorsport

  … [Trackback]

  […] Here you can find 99514 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

 7. hk rifles for sale

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-best-dressed-tanzanian-men/ […]

Comments are closed.