SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Fashion Tips Kwa Wanawake Wenye Matiti Madogo
Mitindo

5 Fashion Tips Kwa Wanawake Wenye Matiti Madogo 

Wanawake wenye matiti ama vifua vidogo wana advantage kubwa kuliko wenye maziwa makubwa ( we wonder why wanawake wanapenda maziwa makubwa) machaguo yao ya mavazi huwa rahisi kupata lakini pia they can go braless bila watu kushangaa. Well kama una kifua kidogo na una patwa na matatizo au hujui mavazi gani yana kufaa zaidi tupo hapa kwa ajili yako.

Show Some Skin ( Onyesha Ngozi)

Since una maziwa madogo huna wasiwasi wa kuvaa blazia kila mahala unaweza kuonyesha ngozi kwa kuvaa nguo za mgongo wazi, deep V,off shoulders au show some side boob.

Weka Attention katika Kiuno

Since una kifua kidogo ni vyema uka peleka attention kiunoni kwa kuvaa mavazi yanayo draw attention there, kama high waist trouser, skirts au hata kuvaa waist belts,unaweza kuongezea na statement necklace katika outfit yako kukupa polished look.

Vaa Flared Trouser,

make flared trouser your best friend, flared trouser ambazo zina small waist zinakufanya upate muonekano mzuri, unaweza kujifunza tip hii kutoka kwa mwanamuziki Ariana Grande, yeye anakifua kidogo na mara nyingi hupenda kuvaa flared trouser na crop top & she normal look amazing akivaa hivyo.

Accessorise

unaweza kuongezea illusion ya more size kwa kuongezea urembo katika kifua chako, unaweza kuvaa top zenye ruffle, au flills lakini pia unaweza kuongezea scarf katika mtoko wako au even better unaweza kuvaa statement au layering necklace

Vaa Colorful Cloth 

kama unapenda kupata attentio kifuani basi jibu ni kuvaa nguo za rangi juu wakati chini ukivaa dark colors, hii inasaidia kupata attention juu zaidi kuliko chini na since kifua chako ni kidogo ukivaa dark color juu unakuwa unaondoa all the attention juu.

Related posts

3 Comments

 1. Mushrooms golden teacher

  … [Trackback]

  […] Here you will find 55373 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-fashion-tips-kwa-wanawake-wenye-matiti-madogo/ […]

 2. https://www.kirklandreporter.com/reviews/phenq-reviews-fake-or-legit-what-do-customers-say-important-warning-before-buy/

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-fashion-tips-kwa-wanawake-wenye-matiti-madogo/ […]

 3. music for stress relief

  music for stress relief

  music for stress relief

Comments are closed.