Well Halloween ina weza ikawa imeisha kwa wengine lakini sio kwa queen Bey, kwake Halloween bado inaendelea mpaka pale yeye atakapo sema imeisha. Beyonce ame debut 5 halloween costumes ambazo zote ameonyesha appreciation kwa female rapper Lil Kim, Beyonce ame rudia Iconic look 5 za Lil Kim and we say hail hail to the queen

Source Hip-Hop Music Awards (1999) hii look aliivaa Lil Kim katika hip hop Music Award 1999,

Neon matching for  NO WAY OUT TOUR (1997),

 

 

Missy Elliott’s “The Rain” Music Video (1997)

MANHATTAN FILE MAGAZINE COVER (2001)

TODAY’S BLACK WOMAN MAGAZINE (2000)

well who owned the halloween between Beyonce & Kim Kardashian