SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5-Must Have Accessory To Spice Up Your Suit
Mitindo

5-Must Have Accessory To Spice Up Your Suit 

Ni jumatatu nyingine tena, tumepumzika vya kutosha, tume party vya kutosha na tumeplan kwa ajili ya week mpya even better ni week ya salary. Kuna wale ambao ikifika Jumatatu tunaanza stress cha nini tuvae na namna gani tuvae leo tumewaleta Tips za kina kaka japo hata dada pia unaweza kuzitumia kama wewe huwa unavaa suit au shirts za mikono mirefu kazini kwako. Wengi huwa tunapata shida katika swala zima la ku accessorize suit zetu leo tunakuletea accessory tisa ambazo unaweza kuzitumia kuongeza chachu katika suit yako.

  • Cufflinks – hivi ni kama visikizo vya shati lakini hivi ni vya kuvaa mikononi na unaviweka na kuvitoa, hivi vinakufanya uonekane putted together na kukufanya uonekane elegant and stylish bila kupiga kelele nyingi

  • Saa – Saa inatumika kwa vitu viliwili factional lakini pia ni statement piece  katika kabati suit yako, saa inazungumza personality yako kama ni classic or modern styles au vyote kwa wakati mmoja, chagua saa ambayo inazungumza style yako na inatoa suit yako from okay to bad and boujee

 

  • Belt – A belt is a must have ukiachana tu na suit ila kila mwanaume anapaswa kuwa na belt ambayo ni nzuri & ipo stylish linapo kuja swala la suit belt inatumika ku-break up outfit yako lakini pia unaweza kuitumia ku add color kwenye suit yako

  • Socks – color full socks is a modern men way of making impression, kama umeona sasa hivi wanaume wengi wanakimbia socks za rangi zilizopoa kama nyeusi au gray na kuvaa socks za rangi rangi hii inafanya uadd personality katika suit yako
  • Bags – kutoka kwa celebrities na style icon inaonekana kila mtu ana beba bag sasa hivi, sio tu kwa kubebea vitu lakini pia linaweza kutumika kama accessory katika kunogesha mtoko wako, tafuta simple & classic bag

Tunakutakia week njema & ni matumaini yetu tutakutana huko mitaani mkiwa mmeslay ndani ya suit zenu. Bonyeza hapa kusoma suit do & dont’s

Related posts

2 Comments

  1. wonka chocolate bar

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-must-have-accessory-to-spice-up-your-suit/ […]

  2. mushrooms of Florida

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-must-have-accessory-to-spice-up-your-suit/ […]

Leave a Reply