SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Photos Kutoka Katika Harusi Ya Williams Uchemba
Mitindo

5 Photos Kutoka Katika Harusi Ya Williams Uchemba 

Muigizaji na mchekeshaji kutoka Nigeria Williams Uchemba amefunga ndoa hivi karibuni, na tunaweza kusema Williams na mkewe Brunella Oscar didn’t come to play. Kila outfit ilikuwa bomb zaidi ya iliyopita, they just did it effortlessly.

unaweza kuangalia picha zao hapo chini na kupata idea ya nguo au picha katika event yako ijayo

Juu unaweza kuona the color coordination kutoka kwenye outfit zote tatu, kuanzia kwenye nyeusi,brown na black.

Well how cute is the white dresses? lets take a moment to appreciate the work effort zilizowekwa kwa designer na stylist waliowavalisha wote wawili Williams na Brunella Oscar.

Related posts