SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Stylish Men To Follow On Instagram
Mitindo

5 Stylish Men To Follow On Instagram 

Well NSTAGRAM ina matumizi mbalimbali. Wengine huconnect na dunia kwam kushare picha na video,  wengine hujipatia marafiki na hata wenza ila kwa wapenzi wa fashion ni uwanja wakujionea na wakujizolea style  inspiration toka kwa watu mbalimabli wawe maarufu ama la.

So kwa wakaka tumewachagulia baadhi ya pages za watu maarufu ambazo kwa mpenda fashion ama kuvaa vizuri na kupendeza zitakuinspire kuboresha muonekano wako.

Twaanza na:

Anaitwa Andru Julian Mahigana he’s a slaying fashionista and and on instagram. Ukiipitia page yake waweza kuwa inspired na his casual looks, smart casual na hata formal looks akiwa all dapper in a suit katika matukiom mbalimbali. His instagram serves as  apersomal blog na kwa hakika katika picha zake wawezajizolea tips mbalimbali za unadhifu kuwa gentleman.

 

G Nako ni msanii mwenye kipaji chake toka kundi la WEUSI. Pia ni fashionista wa aina yake as his sense of style huvutia either akiwa casual iakiwa amevalia shorts na sandals ama formal in his dapperkiller  suits. Pia hutupilia rangi mbalimbali hivyo kwa wewe muoga wa kijaribu baadhi ya rangi ama mixed prints, G Nako anaweza kukuvutia kujaribu.

Denola ni media presenter, fashion blogger na style influencer toka Nigeria . Ni kijana ambayestyle yake na nguo avaazo huleta mvuto hivyo ukitembelea page yake waweza  kujionea mionekano mablimbali, from casual wear to formal wear so pretty sure hutotoka kapa hapa bali utajifunza vitu kededede.

Richard Mofe Damijo ni muigizaji, mwanasheria na babu wa familia  toka nchini Nigeria mwenye miaka 57 lakini umri haujawa chanzo cha kutokupendeza. Baba huyu huslay kila picha na hakikah utoacha kuscroll kujionea zaidi pindi uutakapo tembelea page yake. Baba nyumbani waweza badili ama kuupendezesha muonekano wako kwa kuwa inspired kupendeza kama Mofe. Hata kwako mama, Mofe anaweza saidia kukupa ideas za kubadilisha muonekano wa mwenzi wako kama hauridhishi.

Norris Danta Ford ni mbunifu, fashion blogger na fashion influencer toka California, Los Angeles, Marekani na hakika page yakeu ionapo utavutiwa kuubadilisha muonekano wako. Norris huweza kucheza na kustyle rangi na patterns mbalimbali katika mavazi yake yaani from hot pink to army prints hivyo utavutiwa na kujifunza jinsi waweza kujistyle hata wewe.  Pia nguo nyingi avaazo huwa si za gharama hivyo kupendeza  hakuitaji gharama sana bali ujanja wa kuapngilia muonekano wako

Imeandikwa na @willibard_jr

Related posts

4 Comments

  1. try this

    … [Trackback]

    […] Here you will find 46646 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-stylish-men-to-follow-on-instagram/ […]

  2. ufabet

    … [Trackback]

    […] Here you will find 80065 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-stylish-men-to-follow-on-instagram/ […]

  3. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-stylish-men-to-follow-on-instagram/ […]

  4. buy ayahuasca tea online therapy,

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-stylish-men-to-follow-on-instagram/ […]

Comments are closed.