Moja kati ya watu maarufu ambao wengi wanawapenda kutokana na mavazi yao basi ni mwanadada Lavidoz, Lavidoz ana mwili wa kawaida ( sio ile miili ya kutengeneza) na bado anavaa na kupendeza.

Ambacho wengi tunavutiwa nacho kutoka kwake ni kwamba japo havai mavazi ya ghali sana lakini mara zote anaonekana stylish & Classy hii ilivutia wengi na sisi tukiwepo tukaona tumuulize anawezaje kufanya hivyo na haya ndiyo majibu yake,
- Know your personal style
- Invest in quality (quality over quantity)
- Know your body what works with your body type ..
- Less is more when it comes to prints n accessories (attention to details )
- Pick the right colours for your wardrobe ,invest more in neutral colours (white ,black,grey ,navy ,camel etc .)
There you have it afromates, ukijua hivi vitu vitano basi inawezekana ukaweza kufikia level za Lavidoz.
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-tips-on-how-to-be-classy-and-stylish-according-to-lavidoz/ […]