SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Tips To Look Sexy In A Shirt
Mitindo

5 Tips To Look Sexy In A Shirt 

kuna vitu vidogo vidogo ambavyo mwanaume unaweza kufanya ukaonekana smart, stand out na kuleta mvuto katika muonekano wako, wengi wetu hudhani huitaji kupendeza kwani wewe ni “mama” lol now days wadada wanavutiwa na wakaka walio smart.

Leo tunakuletea tips 5 za kuonekana sexy ukiwa umevalia shirt,

Collar Iliyosimama

Unaweza kusema Afro mpaka collar, yes mpaka collar. Collar ambayo ime (flop) au kulala inaharibu muonekano wako unaonekana cheap tofauti na ukivaa collar iliyosimama hata kama ukifungua vifungo au kufunga itaonekana smart.

Layering

Ikiwa ni mara chache kwa wanaume ku-layer mavazi kutokana na kwamba mwanaume haitaji mambo mengi kama ambavyo mtaa unasema lakini ku-layer kunaleta utofauti na hasa ikiwa rangi zimepangiliwa vyema.

Slim Fit

Ilikuonekana sexy katika vazi la shirt / shati hakikisha vazi hili linakutosha vyema lisiwe linakubana sana au kukuachia sana, iwe una kitambi au 6 packs bado utapendeza.

Kukunja Mikono

Mikono inatakiwa kukunjwa hakikisha imekunjwa vyema, haija tunatuna au kuonyesha nyuzi za ndani za shirt, kukunja mikono hakufanyi tu kuonekana sexy bali pia hufanya muonekano kuonekana stylish.

Chomekea / Kutokuchomekea

Shirt zenye muundo wa U chini zinaweza kuchomekewa au kuto kuchomekewa wakati zile shirt ambazo zipo flat chini ni muhimu kuchomekea na kama shirt ni refu sana basi ni vyema likachomekewa.

Well tuambie ni tip gani nyingine huwa unatumia?

Related posts