Kusafiri kumekuwa so much fun kwa sasa, ukiangalia watu maarufu wakiwa na outfit zao za safari unajiuliza how do they pull it off? Wanawezaje kuwa stylish kiasi hiko wakati wanasafiri?
Moja ya watu maarufu ambao wanatuvutia na traveling styles zao ni stylist Rio Paul, he always manage na stay stylish & classy hiki ni kitu kimoja ambacho kimetufanya tumtafute atupe Tips za kusafiri in style.
Na haya ndio yalikuwa majibu ya Rio
1) Always incorporate black in your outfit as the color hides away spills and dirt from travel. It is also important to note the weather of the destination your headed to.
2) Think the Three C’s – Comfort, Class and Cool.
3) Less is more, so invest in durable and stylish accessories.
4) Skin, Oral and Odor care is a must, so don’t forget your mini grooming kit and sanitizers.
5) lastly don’t forget to have fun and make beautiful memories.
Xoxo
Well tag us kwenye stylish traveling outfit yako katika account zetu kwenye mitandao ya kijamii @afroswagga na afroswaggaTz
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-travelling-style-tips-kutoka-kwa-stylist-rio-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-travelling-style-tips-kutoka-kwa-stylist-rio-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-travelling-style-tips-kutoka-kwa-stylist-rio-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-travelling-style-tips-kutoka-kwa-stylist-rio-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/5-travelling-style-tips-kutoka-kwa-stylist-rio-paul/ […]