SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 FASHION TRENDY ZA 2016 ZA  KUZIACHA 2017
Mitindo

6 FASHION TRENDY ZA 2016 ZA KUZIACHA 2017 

Tukiwa tuna approach kuingia 2017 tumeona tuwape ideas za nini nini tukiache kibaki 2016 . na ni kama ifuatayo

1) Wanaume kuvaa ma top dress tshirt, Hii hata hatujui ilikuwaje a trendy kwa wanaume… ukikuta mwanaume kavaa hivi ni kama una muona mwanadada kavaa tight na blouse ndefu tuiache tu ibaki 2016,2017 tuvae tu T-shirt zetu za kwaida

15624084_1808232249446918_5586115524095377408_n

2) Wanume kusuka nywele za kike, tuwaachie wakina Chris Brown na sisi tubaki tu na U Africa wetu tutapost hair styles nzuri zinazo wa suit wanaume wa ki Africa bila kuwa too much

15538983_229564714151982_3191372004729028608_n

3) See through Tops, Dress Etc – Tumesha ona vyote tafadhalini mwaka 2017 tupumzisheni hii fashion iishie 2016. Wengine hata hazitupendezi ila ni vile tu kiingiacho mjini

2016-fashion-trends-sheer-tops

4) Viatu vya manyoya – please leave these shoes in 2016 tafadhalini, ni kitu kimoja kuvaa fur Nchi za Nje na kingine kuvaa Dur Slippers Africa, hasa ukiangalia na hali yetu ya hewa

fur-slippers-1482446986

5) Slip Dresses over T-shirt  – sasa zirudi ziwe tu za kulalia as zilikuwaga, tuzipumzishe 2016 vaa slip au t shirt lakini usivae zote kwa pamoja ina chosha

t-shirt-1482447051

6) Plastic Shoes – hatuku zipenda 2016 hatuto zipenda 2017 zibaki tu huko huko, zinaonekana cheap na kuzivaa hivi viatu bongo na hii hali ya hewa una hitaji moyo wa ziada

GettyImages-599736132

Related posts