SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Times Fashionista Sishkiki Showed Us How To Rock A Fedora Hat
Mitindo

6 Times Fashionista Sishkiki Showed Us How To Rock A Fedora Hat 

Fedora Hat zipo kwa muda mrefu lakini kwa zamani zilikuwa zinavaliwa sana na wanaume na hasa journalist lakini Dunia inazunguka na mambo yanabadilika kwa sasa mtu yoyote anaweza kuvaa fedora hat japo si wengi wenye mapenzi nazo. Hii ipo tofauti kwa fashionista Sishkiki yeye ameonekana kuwa anazipendelea kofia hizi na mara kwa mara tumemuona akizivaa.

Tumeona basi tuwape Idea na wengine kama unazipenda na unazo basi utapata idea ya namna ya kuzivaa na kama unazipenda na huna basi ni matumaini yetu idea hizi zinakupa mshawasha ya kuzitafuta

Well let us know would you try it?

Related posts