Doris ni fashionista kutoka Tanzania ambae utampata instagram kwa nickname yake ya ms_ris_eddy Ni moja kati ya fashionistas ambao Tanzania ina pashwa kujivunia, yaani sio yule wa fashion za trend Doris yupo kipekee anajua kujistyle.
Well leo tumekuletea mara 6 ambazo Doris ametuonyesha namna ya kuvaa nguo za kata mikono na shirt /blouse ndani, Style hii inafaa sana kwa wale ambao
- Wanamikono minene wanataka kuificha
- wana maziwa makubwa hawawezi kuvaa nguo ya mikono myembamba
- Kwendea kazini
- Kuifanya look yako iwe more casual
Well Lets see the looks kutoka kwake
Ukiangalia hizi looks tatu utagundua hizi dress ni za usiku, kuvaa mchana kwenda sehemu za watu wengi haiwezekani, Doris alichofanya ni kuongezea shirt ndani ambayo ime match na gauni lake na kufanya aweze kutembea nayo popote.
Hizi tatu za hapa chini ni ambazo unaweza kuvaa kazini au kwenye business affairs, clothing the deal stylishly.
Hopefully umepata idea za namna ya kuvaa strap dress yako.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-times-ms-doris-showed-us-how-to-style-strap-dress-with-shirt-underneath/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-times-ms-doris-showed-us-how-to-style-strap-dress-with-shirt-underneath/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 10509 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-times-ms-doris-showed-us-how-to-style-strap-dress-with-shirt-underneath/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-times-ms-doris-showed-us-how-to-style-strap-dress-with-shirt-underneath/ […]
trap
trap
meditation music
meditation music
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/6-times-ms-doris-showed-us-how-to-style-strap-dress-with-shirt-underneath/ […]